Ezekiel 27:2-4

2 a“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro. 3 bUmwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema,
“Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”

4 cMipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari,
wajenzi wako walikamilisha uzuri wako.
Copyright information for SwhKC